<부 록> ① 스와힐리어 노래가사 ②
|
가. 1. Jambo Jambo
Jambo Jambo bwana Habari gani? Nzuri sana.
Wageni mwakaribishwa. Kenya yetu hakuna matata. (4회 반복)
Kenya nchi nzuri. Hakuna matata.
Nchi ya maajabu. Hakuna matata.
Nchi ya kupendeza Hakuna matata.
Kenya yetu Hakuna matata.
Hakuna matata Hakuna matata.
Wazee mwakaribishwa Hakuna matata.
jambo wote Hakuna matata.
Kenya wote. Hakuna matata.
Kila kitu. Hakuna matata.
Hakuna matata. Hakuna matata.
Watu wote Kenya Hakuna matata.
Ah~ ah~ Hakuna matata.
Uh~ uh~ Hakuna matata.
Kenya yetu. Hakuna matata.
Kenya nchi nzuri. Hakuna matata.
Nchi ya maajabu. Hakuna matata.
Nchi ya kupendeza Hakuna matata.
Hakuna matata. Hakuna matata.
Kenya yetu. Hakuna matata.
watu wetu. Hakuna matata.
나. 2. Nakupenda
Ah~ Ah~ Ah~ Ah~
Ah~ Ah~ Ah~ Ah~
Nakupenda Nakupenda Nakupenda wewe
mpenzi mbona wanisumbua? Unifanyavyo sivyo
Bibi acha kunibagua Nakupenda hivyo ulivyo
Nakupenda Nakupenda Nakupenda wewe (2회 반복)
Kichuna ewe Kichuna Ninayo masikikitiko
Usiku kucha silali Hata nala kwa kijiko
Nakupenda Nakupenda Nakupenda wewe (2회 반복)
간주 후에~ Nakupenda Nakupenda Nakupenda wewe (2회 반복)
다. 3. Kilimanjaro
See uone mountain See wasafiri
See Kilimanjaro See uone mountain ta (2회 반복)
Kilimanjaro Mlima mrefu sana
Kilimanjaro Unapendeza sana (2회 반복)
Wanyama wengi sana Atawinda kwa wengi
Msitu mkubwa sana Atapita suna anda
See uone mountain See wasafiri
See Kilimanjaro See uone mountain ta (2회 반복)
Kilimanjaro Mlima mrefu sana
Kilimanjaro Unapendeza sana (2회 반복)
라. 4. Malaika
Malaika, nakupenda malaika (2회 반복)
Nami nifanueje kijana mwenzio
Nashindwa na mali sina wee ningekuoa Malaika (2회 반복)
Kidege hukuwaza kidege (2회 반복)
Ningekuoa mama wee ningekuoa dada
Nashindwa na mali sina wee ningekuoa Malaika (2회 반복)
Pesa zasumbua roho yangu (2회 반복)
Ningekuoa mama wee ningekuoa dada
Nashindwa na mali sina wee ningeuoa Malaika (2회 반복)
Ningekuoa Malaika
Ningekuoa Malaika
Ningekuoa Malaika
Ningekuoa Malaika
마. 5. Harambee
Harambee harambee tuimbe pamoja
Tujenge serikali
Wengi walisemna Kenyatta kuwa matata
Watu wote wastarabu
Wana nchi harambee tukuje pamoja
Mwongo senau salama
Watu wa Kenya hatuna ubaguzi
Kila rangi tunaipenda.
바. 6. Kirye
Tujeibana waye mama karibu radio
Nitaka kazi yote mama wacheni mchezo
Wangu yuko mzuri mama karibu radio
Macho yako vizuri mama wacheni mchezo
Nitaka wewe nawe mama karibu radio
NItazama sawate mama wacheni mchezo.
Wata yuko mzuri mama karibu radio
Macho yako vizuri mama wacheni mchezo
후렴 : Kirye kiryo kiry kiry kiry kiry mama
Kirye kiryo kiry kiry kiry kiry mama
사. 7. Karibuni Kenya
Karibuni Kenya hii ni nchi ya jua
Jambo jambo bwana jambo jambo rafiki
Huzapenda safari tukaonea nyama
Simba na wenzake wakilia
Karibuni Kenya hii ni nchi ya jua
Jambo jambo bwana
Jambo jambo rafiki
아. 8. Taxi Driver
Texi driver nikomboleshe gari
Niende naikuru nikamwone hannah
Aliniahidi nifike Jumamosi
Nami sitaki kuvunja promisi
Niliondoka na yule dereva
Tulipofika kule naivasha
Gari letu lilipata panchari
lngawa lazima tutachelewa
Nilipofika kule naikuru
Nilimpata “my baby” amekasirika
Nilimwaambia sio makosa yangu bebi
Gari letu lilipata panchari
Hiyo promisi ya gari sinzuri
Kwa sababu gari haiamimiki
Tusema kweli gari si kama mtu
Anayekwenda kwa nguvu za damu
자. 9. Jambo
Jambo jambo bwana
Jambo jambo bwana Hakuna matata
Jambo jambo bwana Habari gani? Nzuri sana
Jambo jambo bwana(bibi) Habari gani? Nzuri sana(njema)
Jambo jambo bibi(bwana) Habari gani? Nzuri njema(sana)
Jambo jambo bibi Habari gani? Nzuri njema
Jambo jambo bwana
Jambo jambo bwana Hakuna matata
Wageni wakaribisha
Kenya yetu hakuna matata
차. 10. Jambo Jambo
Jambo jambo bwana
Habari gani?mzuri sana
Wageni,mwakarikibishwa
Kenya yetu hakuna matata – whole stanza(4회 반복)
Kenya nchi nzuri, hakuna matata
nchi ya maajabu, hakuna matata
nchi ya kupendeza, Kenya yetu - hakuna matata(3회 반복)
nyote mwakaribishwa, hakuna matata
Jambo wote,hakuna matata
Kenya wote, hakuna matata
Kila siku hakuna matata - Hakuna matata(2회 반복)
Watu wote hakuna matata - Hakuna matata(4회 반복)
카. 11. Pole Musa
Sukuma sukuma sukuma sukuma
Musa nimevumilia sana
Musa nimevumilia sana
Kupigwa pigwa kama miti punda
na sura yangu imeharibika
na ngumi zako za kila siku Musa
Taabu Taabu Taabu
Kweli Musa uliponioa sura yangu
haikuwa na alama hata moja
Nilikuwa na afya nzuri nilinona
kama ngoima yakirige
Hoye Hoye tafadhali Musa
na sura bibi atakayeweze
kuvumilia hizo tabia zako
Ukinywa pombe wamunywea yeye
Ukinywa mnyeke wamunywea yeye
Pole Pole Pole
타. 12. Lala salama
Lala lala salama (4회 반복)
Jua limekuchwa usiku umeingia
Njoo mpenzi wangu tukalale salama
Lala lala salama
Lala lala salama
Tumezizima taa kesho ni kudamka
Saa imefika ya kulala salama
Lala lala salama
Lala lala salama
파. 13. Asante Sana
Asante sana (2회 반복)
Asante sana
Mama
Asante sana
Baba
Asante sana
Mtoto
Asante sana
Rafiki
Asante sana (4회 반복)
Aaaaa Asante
Asante sana (2회 반복)
Asante sana
Mama
Asante sana
Baba
Asante sana
Mtoto
Asante sana
Rafiki
Aaaaa Asante (12회 반복)
하. 14. Pole pole
Pole pole sasa (4회 반복)
Mwambie atapata tabu
Mwambie ana haraka nini
Mwambie atapata shida
Mwambie aende pole pole
(처음부터 2회 반복)
Pole pole sasa (8회 반복)
거. 15. Baba yetu
Baba yetu, Yesu uliye
Mbinguni yetu, Yesu, amina!
Baba yetu, Yesu, uliye
Jina lako litukuzwe.
(2회 반복)
Utupe leo chakula chetu
Tunachohitaji utusamehe
Makosa yetu, hey!
Kama nasi tunavyowasamehe
Waliotukosea usitutie
Katika majaribu, lakini
Utuokoe, na yule, milelea milele!
후렴
Ufalme wako ufike utakalo
Lifanyike duniani kama mbinguni(Amina).
후렴
Utupe leo chakula chetu
Tunachohitaji utusamehe
Makosa yetu, hey!
Kama nasi tunavyowasamehe
Waliotukosea usitutie
Katika majaribu, lakini
Utuokoe, na yule, simama mwehu
Baba yetu, Yesu, uliye
Jina lako litukuzwe.
(2회 반복)
너. 16. Nakupenda wewe
Aaaaaaaaaaah(4회 반복)
Aaaaaaaaaaaah(4회 반복)
Nakupenda, nakupenda, nakupenda wewe(2회 반복)
Mpenzi bona wanisubua
Kila nifanyavyo sivyo
Bibi wacha kunipakua
Nakupenda hivyo ulivyo
Nakupenda,nakupenda,nakupenda wewe(2회 반복)
Kichuna ewe kichuna
Nina masikitiko
Usiku kucha silali
Hata nala kwa kijiko
더. 17. Mama Sofia
Mama wakina Sofia,
mwambie Sofia wangu
Naye atage vile na milele na milele
후렴
Mama we(2회 반복)
Dada we(2회 반복)
Mwabie Yule wangu
Naye atage vile na milele na milele
러. 18. Kasalo kyanga
Kama wewe ungenipenda,kwanini kunidanganya bwana weeeeeeeeeeeee!
Kujibandika madaraka sio yako bwana weeeeeeeewe!
Nimesikia tetesi kuwa huna lolote hata kazi hunaweeeeeeeee!
Unazurura mchana kutwaiiiiii,ukitakula kurandaranda mitaanii
Kumbe hukuwa na uwezo wa kunioa,hela kuniharibia maisha
Heri kuniambia ukweli ulivyo kuliko kunidanganya nikuelewe vipiiiiii?
Babu weee!uaminifu wako uko wapieee?
Baba! nikuelewe vipi?
Babaaaaaaaa!
머. 19. Sina makosa
Hasira za nini we bwana? Wataka kuniua bure bwanaaa
Yule si wako, nami si wangu, chuki yanini kati yako mimi na wewe?
Nasema sina makosa wataka kuniua bure
Sina makosa kwanini wataka mimi nife?
Nasema sina makosa wataka kuniua bure
Sina makosa weeee bwanaaaaaaaaaa!
버. 20. Toto wangu
Toto wangu,usilie
Usilie juu ya maneno ya dunia(2회 반복)
Nifanye nini uwe natabasamu mwanangu
Nifanye nini uwe na furaha,
Uchekekeke,uimbeimbe
Nifanye nini uwe na furaha
Toto wangu,usilie
Usilie juu ya maneno ya dunia(2회 반복)
Dunia ina mengi,baba usiogope oh!mwanangu we!
Kila siku we utaona maajabu
Usichokechokechoke usilielielie
Nifanye nini x2 uwe na furaha
서. 21. Blondie eya nchama, uwimana, jc matata
Lelelelelelelelele……………..
Vijana wa leo,wameutoa mwito
Wakiwaomba viongozi wawatege sikio
Wawape nafasi wakamilishe thamani yao oh!
Hawachukii viongozi wao,wanaochukia ni ubaguzi
Ubaguzi wa rangi,ubaguzi wa kabila,ubaguzi kazini
Wataka mapendo,wataka umoja,wataka amani milele na milele
Lelelelelelelelele……………..
Wawape nafasi vijana,wakamilishe thamani yao oh!
Wanajua kwamba, jasho la nguvu zao ndilo litawapa uhuru
Wanajua kwamba kazi ndio msingi wa maisha
Si wehu,wanachokiomba wapeni nafasi
Sisi vijana wa dunia,twataka kuishi ,
Tupeni nafasi twataka umoja,twataka mapendo,twataka amani milele na milele
Nasisi waimbaji,tupase sauti zetu tuwape furaha raia
Kwa vibao safi safi,kwa nyimbo za umoja na zenye mafunzo mema
Mafunzo ya ukarimu na utulivu
Tuwaliwaze(2회 반복)
Lelelelelelelelele……………
36.
37.
38.
'언어 > 스와힐리어 연구' 카테고리의 다른 글
제3부. 스와힐리어 단어 (Kiswahili Vocabulary) (0) | 2015.03.15 |
---|---|
제2부. 스와힐리어 구문연습(Kiswahili Excercise) - 15장. Somo la Kumi na Tano (0) | 2015.03.15 |
제2부. 스와힐리어 구문연습(Kiswahili Excercise) - 14장. Somo la Kumi na Nne (0) | 2015.03.15 |
제2부. 스와힐리어 구문연습(Kiswahili Excercise) - 13장. Somo la Kumi na Tatu (0) | 2015.03.15 |
제2부. 스와힐리어 구문연습(Kiswahili Excercise) - 12장. Somo la Kumi na Mbili (0) | 2015.03.15 |