4.5.제 2 장① Somo la Pili가. 1. 회화1) 1.1 인사 Atieno anabisha. Atieno : Hodi.(Mwalimu anatoa ruhusa.)Mwalimu : Karibu.(Atieno anaamkia.)Atieno : Shikamoo. mwalimu.(Mwalimu anaitika.)Mwalimu : Marahaba Atieno.Atieno : Tafadhali mwalimu. Nataka kwenda haja.Mwalimu : Unaweza kwenda. Lakini usichelewe.Atieno : Asante mwalimu.Ali : Hujambo Ware.Ware : Sijambo Ali.Wanja : Habari zako Atieno.Atieno : Njema ..